Nenda kwenye maudhui
  • Ukurasa wa Mwanzo
    • Tuma ujumbe faraghaniEndelea kuwasilianaUnganishwa katika vikundiJielezeWhatsApp kwa ajili ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa ajili ya Biashara
  • Pakua
Pakua
Masharti na Sera ya Faragha2025 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Endelea kuwasiliana

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Unganishwa katika vikundi

      Utumaji ujumbe kwenye kikundi umerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • WhatsApp business

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa ajili ya Biashara
  • Programu
IngiaPakua

Unganisha kwa lugha yako mwenyewe

Mahali ambapo mazungumzo yanaweza kuwa na fanaka, kufurahisha na kukufaa kabisa.

Unapohitaji zaidi ya maneno tu, jieleze kwa njia nyingi ukitumia vipengele vya WhatsApp—picha na video, madokezo ya video, vibandiko na zaidi.

  • Shiriki picha na video

    Nasa na uhariri matukio ya kila siku, hata kama unatumia muunganisho wa polepole, na uyatume katika ubora wa kawaida au wa ubora wa juu.

  • Tuma vidokezo vya video

    Nasa hisia za tukio kwa kurekodi na kushiriki ujumbe wa video papo hapo hadi dakika moja kwenye gumzo.

  • Sema zaidi ukitumia vibandiko na GIF

    Kuwa mbunifu ukitumia vibandiko, Avata na GIF zinazoweza kutafutwa na kugeuzwa kukufaa.

  • Jibu ukitumia emoji

    Tumia emoji yoyote kujibu ujumbe na kushiriki mawazo yako kwa urahisi na papo hapo.


Shiriki matukio yako ya kila siku kwenye Hali

Nenda zaidi ya maneno: Shiriki picha, video, ujumbe wa sauti au maandishi na waasiliani wako. Badilisha upendavyo Hali yako ukitumia GIF, vibandiko na zaidi.

Endelea kuunganishwa: Usiwahi kukosa tukio na kushiriki unachofanya na marafiki na familia.

Shiriki kwa ujasiri:Hali Yako inaonekana tu kwa wale unaowachagua, na itatoweka baada ya saa 24.

Pata maelezo zaidi

Je, unahitaji msaada zaidi?

Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Ni jinsi gani ninavyoweza kutumia vibandiko?
Ni jinsi gani ninavyoweza kutuma hisia za ujumbe?
Je, ninaweza kudhibiti vipi midia yangu?
Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua
Huduma Zetu
VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni nani
Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsApp
AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?
Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2025 ©

Sheria na Sera ya Faragha
Sitemap